MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
Mwalimu MkuuNani anashika daftari la attendance?
Mwalimu MkuuNani anashika daftari la attendance?



Kabisa komredi, naona taratibu watoto mnaanza kumuunga mkono baba kimatamshi.Kwema mkuu?




unatakiwa uwe makini sana every detail ili jibu liwe sahihi 

.Uzuri wa multiple choice yote ni majibu sahihi na kila jibu huweza kuwa jibu sahihi zaidi kulingana na mazingira ya swali.
Karibu bibie, mimi ndio Mwl. Mkuu.wacha nimtafte niandikishe jina.
unatakiwa uwe makini sana every detail ili jibu liwe sahihi
.


Kwema lakini Farkhina?Karibu bibie, mimi ndio Mwl. Mkuu.
Kwema lakini Farkhina?
Mmh, sheria mpya ya salamu ya mwaka 2018 kifungu cha 16b kimeifuta hii salamu toka January 2018.Shkamoo Mwl.
Mmh, sheria mpya ya salamu ya mwaka 2018 kifungu cha 16b kimeifuta hii salamu toka January 2018.

Aisee, mwanafunzi unaonesha ni mkorofi sana.Kwahiyo what’s up teacher![]()
Aisee, mwanafunzi unaonesha ni mkorofi sana.
Hujasoma kibao hapo mlangoni kimeandikwa "Kiswahili ndio utamaduni wetu, tukienzi"

Ewaah safi kabisa, fanya kuingia ndani sasa uniambie shida yako bibie.Ntajirekebisha.![]()
Ewaah safi kabisa, fanya kuingia ndani sasa uniambie shida yako bibie.
Karibu tena bibie.Sina shida yoyote.shukraan