Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Salama kabisaZa leo.
Salama kabisaZa leo.
Kama hivi.Ingia lindoni tu
Tunamlinda bosi yeye kalala na mkewe ndani.Mwanamfumu.
InapendezaKama hivi.
Detail yangu inakaribia kwishaIngia lindoni tu
Salama kabisa
Tujitahidi ili atoe bonus maana huu mwezi mshahara tu hautoshiTunamlinda bosi yeye kalala na mkewe ndani.
Binafsi mimi mzima, maana lindo la leo kila mtu yuko mwenyeweWazima wote huko?
We acha tu na hali ilivyongumu hata awaoni huruma kuchelewesha mshaharaTujitahidi ili atoe bonus maana huu mwezi mshahara tu hautoshi
Binafsi mimi mzima, maana lindo la leo kila mtu yuko mwenyewe
Kwema mkuu?![]()
![]()
![]()
Na wote tuseme amen.
Nipo, Jana Na Leo



