hapa songi la skales booty language.. wadau wanasema niirudie yaanEmbu nirushe kwenye mic nijisikie watu woyooo shangwe kama lote.
Leo niko lindo wakuu tutakuwa pamoja mpaka majogoo!
Kwema mkuuKwema wadau
Kiongozi umepotea sana pande hiziKwema mkuu
Kho! Kho! Kho! Yaani baada ya kuniacha solemba stendi ndio umekimbilia huku eeeh!?Kwema mkuu



See kila gar wataka pandaKho! Kho! Kho! Yaani baada ya kuniacha solemba stendi ndio umekimbilia huku eeeh!?![]()
Majukum nduguKiongozi umepotea sana pande hizi
Una maanisha nini? Kwamba nisidandie kwako ama?See kila gar wataka panda

njooo weweeeHodi
unalinda nini mkuuLeo niko lindo wakuu tutakuwa pamoja mpaka majogoo!
Jaribu ila abiria chunga. .....Una maanisha nini? Kwamba nisidandie kwako ama?![]()