Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Hivi hulalagi eee?Usiku wa manane unaisha saa 8
Hivi hulalagi eee?Usiku wa manane unaisha saa 8
Hivi hulalagi eee?
Mwanaume halali bali husinzia tu.Siku zote mwanamme hua halali, mwanamme anayelala anatakiwa kuchunguzwa
Hahaaa mwanaume anatakiwa akeshe anayelala ni umama huoSiku zote mwanamme hua halali, mwanamme anayelala anatakiwa kuchunguzwa



Hamna shida zitawafikiaHahaaa mwanaume anatakiwa akeshe anayelala ni umama huo
Me napita nilikwepo Thad au hb wa kigogo wakipita hapa wafikishie salam zangu
Naona hapa Italia vs Portugal wamegoma kufungana.
Sijawahi kubeti wala sijui hata hua wanabeti aje,sipo huko mkuu,nilikua tu nafuatilia hili game.Ulibet
OkSijawahi kubeti wala sijui hata hua wanabeti aje,sipo huko mkuu,nilikua tu nafuatilia hili game.
Nyie mapopo humu ndani
Nakusalimia bossHahaaa mwanaume anatakiwa akeshe anayelala ni umama huo
Me napita nilikwepo Thad au hb wa kigogo wakipita hapa wafikishie salam zangu