Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Duuuh huna ata hurumaAcha yakupige hata kidogo mwenzangu maana hakyanani hapo tu uko hivyo yakiacha kukupiga utatutenda!
Duuuh huna ata hurumaAcha yakupige hata kidogo mwenzangu maana hakyanani hapo tu uko hivyo yakiacha kukupiga utatutenda!
Sikuhz naona unakuja kuwatakia tu watu siku njemaSiku njema wadau
Sawa boss,,ngoja nifanye hivyoBoss ntafute kama tayr
Weeee, hivyo tu ulivyo uko vile yakikufungulia utatufanyia mchezo was ndege. Yaani utatupita juu na kututia nakshi afu unasepa.Duuuh huna ata huruma




@Inna kuja bande hii uvute salio kuna mgeni kaja. Afu ukitoka ukuje kwangu tugawane!Natafuta mwanajf was kike tuchati pakuche




Mbona kama sielewi@Inna kuja bande hii uvute salio kuna mgeni kaja. Afu ukitoka ukuje kwangu tugawane!![]()
Utaelewa tu mwana we subiri anakujaMbona kama sielewi
Mleteeeeee mwambie nna hela na mapenzi mpaka natamani kujitekaUtaelewa tu mwana we subiri anakuja
Mmmh! Naona we ni mgeni kwenye hii page! Huku hatunaga hayo mambo ya akina Amber! Subiri members waje wakujulishe!Mleteeeeee mwambie nna hela na mapenzi mpaka natamani kujiteka