Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ndo hivyo shoga yangu! Hata ujifanye mlinzi mwaminifu lazima tu utalala hata dakika 5, uongo?daah!
Ndo hivyo shoga yangu! Hata ujifanye mlinzi mwaminifu lazima tu utalala hata dakika 5, uongo?daah!
1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.
2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.
3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?
4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.
5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge.
6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.
7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika.
8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza.
9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi.
10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi
kufunika sufuria.

aiseeWengine sisi ni majambazi, wengine wanafanya yao, wengine ndo tunawanga na wenye chambi chambi zao sasa hivi wako kwenye viti virefu wakila mema ya nchi za nje!Hivi nyie mnafanya nini saa hii
Wengine sisi ni majambazi, wengine wanafanya yao, wengine ndo tunawanga na wenye chambi chambi zao sasa hivi wako kwenye viti virefu wakila mema ya nchi za nje!
Ndo hivyoaisee
Nyegela waitu!Wakubwa shkamooni,wadogo mambo vipi! Wakunyumba Tasb'ota!
Waitu!Nyegela waitu!
Kama walinzi wa lindo hiliNdo hivyo shoga yangu! Hata ujifanye mlinzi mwaminifu lazima tu utalala hata dakika 5, uongo?

Tisha sana..1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.
2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.
3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?
4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.
5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge.
6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.
7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika.
8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza.
9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi.
10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi
kufunika sufuria.
Haya haya,tujiandae kuingia kazini
23:1112:05am