MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,453
- 69,340
Hivyohivyo kama inavyosemaHiyo avatar yako siielewi, yamaanisha mini.
😎😎😎😎
Hivyohivyo kama inavyosemaHiyo avatar yako siielewi, yamaanisha mini.
Hiyo avatar yako siielewi, yamaanisha mini.
Hivyohivyo kama inavyosema
😎😎😎😎
Hahahaha,Leo naona mnachati kwa bila utani wenu ule.
Naungana nawe kuwapa salamuWalinzi wa zamu ninawapa salamu...
Naungana nawe kuwapa salamu
Walinzi wenyewe wakuwaaga hata siwaoniIn fact tungesema, wewe pamoja na mimi (kwa umoja wetu) tunawapa salamu walinzi wa zamu...
Walinzi wenyewe wakuwaaga hata siwaoni
Mnaondoka kwenda wapi tena ?Ukitaka kulinda vizuri unajificha, otherwise jambazi akija anaanza na wewe, ila ukijificha ni rahisi kumharibia mipango.
Tuondoke zetu, wao wapo tu.
Kumbee nimeshaanza na kusahau sheria za ulinziUkitaka kulinda vizuri unajificha, otherwise jambazi akija anaanza na wewe, ila ukijificha ni rahisi kumharibia mipango.
Tuondoke zetu, wao wapo tu.
Zamu yako leo.. ngoja sie tukapumzikeMnaondoka kwenda wapi tena ?
Msitukimbie bwana
Daaah, kwani mnaishi wote ?Zamu yako leo.. ngoja sie tukapumzike
Hapana leo tunasindikizana tuDaaah, kwani mnaishi wote ?
Heee haya, usiku mwema.
Mnaondoka kwenda wapi tena ?
Msitukimbie bwana
Ndio tupoTupo