Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Nisamehe bure best, haikuwa dhamira yangu bali majukumu + ukata vinanikimbiza mjiniKumbe kupotea unaweza bana, lakini usifanye hivyo, watu tutapata shinikizo la damu bure

Nisamehe bure best, haikuwa dhamira yangu bali majukumu + ukata vinanikimbiza mjiniKumbe kupotea unaweza bana, lakini usifanye hivyo, watu tutapata shinikizo la damu bure

Ndo ushaingia hivyo, vyua miwani uone uhalisia wa hapa na sio hayo mapichapichaHumu ndani sijawahi ingia. Mbona naona mapicha picha!!
Nisamehe bure best, haikuwa dhamira yangu bali majukumu + ukata vinanikimbiza mjini![]()
Asante kwa kunisamehe. Kwanini wasema eti sababu ya pili nimeongopa?Basi ushasamehewa hata kabla haujaomba msamaha. Lakini sababu ya kwanza uliyotoa inaweza kuwa kweli kwa asilimia 100 ila ya pili umetenda dhambi

Asante kwa kunisamehe. Kwanini wasema eti sababu ya pili nimeongopa?![]()
Hello
Kwema boss, sijui huko kwenuKwema
Ulitaka niweke kama yako mkuu?Kweli mhindi wa bobgo maana mhindi wa Bombay hathubutu kupiga Pic kageuka![]()
Si unajua mhindi wa Bombay ni flat screen hana cha kujivunia mkuuUlitaka niweke kama yako mkuu?
Nipo jamaa yanguMalcom Lumumba upo wapii wee mzee
GPS inasoma wapi sasa ivi..Nipo jamaa yangu