Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Kulala sijiwezi kwa usingiziMarahaba waenda wap?
Kulala sijiwezi kwa usingiziMarahaba waenda wap?
Njoo sasaNilisinzia kidogo
Najua hilo ila no wangapi wapo hai Na hawana furaha Na uhai wao kutokana Na shida? Kwangu mm nadhani Uhai Na Inner peace ndio kila kitu hapa duniani..Kuwa hai ni Baraka kubwa sana Da Vinci ndiyo maana kila siku tunapoamka na kulala lazima tushukuru. Hayo mengine ya kufanikiwa au kutofanikiwa huja baadae. Uhai ndiyo mzizi wa kila jambo....
Salama ndio wapi huko ?Mbaki salama walinzi wenzangu
Hivo hua unajua kua kuna MTU anakumiss etiiKulala sijiwezi kwa usingizi
Kuwa na Amani moyoni ni maamuzi binafsi, haijalishi uko na shida au huna shida. Mtazamo wako juu ya maisha ndiyo huleta furaha na siyo kuwa na mali au kutokuwa nazo. Lakini Uhai siyo maamuzi binafsi bali ni Baraka kutoka kwa YHW ndiyo maana lazima utakuja kujibia uliishije. Haitajalisha ulikuwa na furaha au hukuwa nayo. Uhai kwanza..Najua hilo ila no wangapi wapo hai Na hawana furaha Na uhai wao kutokana Na shida? Kwangu mm nadhani Uhai Na Inner peace ndio kila kitu hapa duniani..
Bado tupo.. Karibu kwenye movie mkuu.. Breaking inJaman walinzi tunalala mapema hivi
Nimefika mkuuNjoo sasa
Asante mkuu, mie nasubiri kikapu hapaBado tupo.. Karibu kwenye movie mkuu.. Breaking in
Ulikua wap?Hii kitu imekaa poah... Ndo nimemaliza kuchek now
Nakuletea zeze likubembelezeKulala sijiwezi kwa usingizi
03:16
nimekuja kufunga milango...
Uko vizuri sanaWalinzi