Donkere91
Senior Member
- May 28, 2016
- 185
- 162
Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu kakomesha
Jamaa katisha mnoHahah
Mmelala ?
Kipalilie mkuuHapana nkilala kibarua kitaota nyasi
Ndio jf inaniwezesha villivyoKipalilie mkuu
Mrejesho usisahau please !!Kumbeeee, asante ngoja nijaribu
Sana[emoji23]
Kuna moja anaulizwa vifaa vya kwenda navyo chuo.akasem ni tranka fyekeo nk
Ila kwa chuo kama sua ni jembe.ng'ombe trekta nk
Ni kupambana nae hakuna namnaMkuu wengne wanategemewa...shetani alivo mshenzi mtihani huo anampa mtu mweny majukumu mia kdg hahaha
Nilisinzia kidogoMmelala ?
Share nasi tukusaidie mpendwa