Okey vizuri. Ngoja niwakimbia akija thad na Bbade wape salam zangu. Usiku mwema na siku njema.Uzima upo mengine ni changamoto za maisha tunapambn nazo
Na kwako piaOkey vizuri. Ngoja niwakimbia akija thad na Bbade wape salam zangu. Usiku mwema na siku njema.
Mmelala..Sawa...dk 1
Bosi upo ?Mmelala..
Marahaba....Nipo kwema?
Hivo usiku hua shikamoo inatolewa?
Hahaa naona umechukua chako mapemaMarahaba....
Hahahaha,Hahaa naona umechukua chako mapema
Aahh tamaduni zetu haziko hivo mzee. Halafu mkuu maisha in zaidi ya uhai..Hahahaha,
Hata usiponisalimia sawa tuu.
Cha muhimu ni uhai tu ndugu yangu.
Maisha ni zaidi ya uhai kivipi ?Aahh tamaduni zetu haziko hivo mzee. Halafu mkuu maisha in zaidi ya uhai..
(Heshima yako mkuu)
I mean ukiwa Na uhai haikufanyi ujione umewin maishaniMaisha ni zaidi ya uhai kivipi ?
Salam haigombi.Mbaki salama walinzi wenzangu
Mm nimeicheki sa4 kibandani usiku huu.. NimeipendaHii kitu imekaa poah... Ndo nimemaliza kuchek now
Marahaba waenda wap?Shikamoo...
Ubaki salama
Kuwa hai ni Baraka kubwa sana Da Vinci ndiyo maana kila siku tunapoamka na kulala lazima tushukuru. Hayo mengine ya kufanikiwa au kutofanikiwa huja baadae. Uhai ndiyo mzizi wa kila jambo....I mean ukiwa Na uhai haikufanyi ujione umewin maishani