Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Mimi sijambo..hofu na mashaka juu yakoNimefika aisee. Tangu juzi nahaha kukutafuta. Hujambo binti?
Nimekuona. Uko mzima. Nimefurahi. Hata nikienda kulala sasa ninalo ridhiko mtimani.
Nilijua umebanwa na wenye misambwanda yao

