Paa
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 1,462
- 2,938
Eeeee! Maana hakuna namna!
Akupe tu


nnchini petu uchochezi ni kosa kisheriaEeeee! Maana hakuna namna!
Akupe tu


nnchini petu uchochezi ni kosa kisheriaNdio umeamka
Sasa upunguze mama!Heee! Kumbe? Ama kweli pombe si chai, aliyenibadilishia majira atakuwa Nleterewa Nganengo baada ya kuniona niko bwii![]()
nnchini petu uchochezi ni kosa kisheria
Kila lakheri huko uendako angalia usijeukavamiwa beba silaha moja ikulinde
Tusimsindikize atajua mwenyewe tubaki tu lindoniAu tumsindikize!?
02:40
Still counting02:40
Tusimsindikize atajua mwenyewe tubaki tu lindoni
HaswaaHaswaa,
Nandani unalala!
Still counting
Ha ha ha nimeamka toka saa 7 kila nikigeuka usingizi hauji.Ndio umeamka
Nilipita kuwasabahi.Sema neno
Keep counting!
Usije ukakimbia ukaenda kuunga juhudi za kulalaNaunga mkono juhudi!
Twende kazi!
Acha uchoyo, nipe company...then urudi hapaKila lakheri huko uendako angalia usijeukavamiwa beba silaha moja ikulinde
Ha ha ha nimeamka toka saa 7 kila nikigeuka usingizi hauji.
Bora ulivyoamka tuna upungufu wa walinzi hapa lindoniHa ha ha nimeamka toka saa 7 kila nikigeuka usingizi hauji.