Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,134
- 6,418
Thad tumekuzum....
Thad tumekuzum....
Mhhhhh !!!Kwakweli nimeguna kwa sautipicha unazopost zinanifanyaga nisisinzie mapema
Ipi zipo mbili
Mh!!!Mhhhhh !!!
Hhongerra thana japo tena hata vyombo utaacha kwenye meza na ubabe utaongezeka.Chezea madarraka!nimecheka tu mbona hunipi hongera?
Alaaa! Hii ina tindikali ya kuwamwagia watakaokuwa wanasinziaHiyo kubwa
Kwa hiyo leo ng`ali ng´ali? Na tulivyo kumiss kuliko kipya kinyemi!Mie kwangu salama kabisa...leo nipo nanyi hadi majogoo
Mkuu malizia kupiga picha mwili mzima hizi za sura tuu uwa azifunguki!
Nidhamu kazini... Sitotaka mzaha katika kazi urafiki nauweka pembeniHhongerra thana japo tena hata vyombo utaacha kwenye meza na ubabe utaongezeka.Chezea madarraka!
Sawa mkuu...Mkuu malizia kupiga picha mwili mzima hizi za sura tuu uwa azifunguki!