Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Mmmmh!Gas station sometimes nako kuna issues...
View attachment 897332
Mmmmh!Gas station sometimes nako kuna issues...
View attachment 897332
Maongezi ya hapa mi yananipigaga chenga sometimes. Huwa tu najifurahisha mpaka pale usingizi ukinizidia nakwenda zangu kulala. Siyo lengo langu kukugunisha [emoji16][emoji16][emoji16]Mmmmh!
Cheers ya nini tena kazini? Utovu wa nidhamu kazini[emoji23] bora wangekuwa wamekamatwa wahalifu[emoji482] cheers kamanda
Ulimhola nsukuma ng'wichane?
Nalimhola namhala. Naona unatoa ofa ya mabinti club. Mnakesha leo ama?Ulimhola nsukuma ng'wichane?
Mzima wa afya tele,Vipi kwako swalama? Astelia Usikimbie sana.Umzima?
Kwakweli nimeguna kwa sauti[emoji23] picha unazopost zinanifanyaga nisisinzie mapemaMaongezi ya hapa mi yananipigaga chenga sometimes. Huwa tu najifurahisha mpaka pale usingizi ukinizidia nakwenda zangu kulala. Siyo lengo langu kukugunisha [emoji16][emoji16][emoji16]