Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,151
- 6,449
Nyumbani je?Nidhamu kazini... Sitotaka mzaha katika kazi urafiki nauweka pembeni
Nyumbani je?Nidhamu kazini... Sitotaka mzaha katika kazi urafiki nauweka pembeni
Tuling'wa guku. Tuliho nno wize kujing'wa Kibo ja wiza nnoNalimhola namhala. Naona unatoa ofa ya mabinti club. Mnakesha leo ama?
Kumbeee nimemisiwa? Ila nimeshakuwa bossladyKwa hiyo leo ng`ali ng´ali? Na tulivyo kumiss kuliko kipya kinyemi!
Wabeja namhala. Yegagi chiza. Sebha Amulang'haneTuling'wa guku. Tuliho nno wize kujing'wa Kibo ja wiza nno
Alaaa! Hii ina tindikali ya kuwamwagia watakaokuwa wanasinzia
Dua nyingi njema kwako...Kumbeee nimemisiwa? Ila nimeshakuwa bosslady
Wabeja namhala. Yegagi chiza. Sebha Amulang'hane
Katoroka mapema leo sijui kuna nini huko!?Siachi kuweka hizi picha za vilemba mpaka Thad atafutwe aje atie neno hapa. Leo tutakesha aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 897360
Pengine kaenda kutimiza majukumu yake. Tumuombee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Katoroka mapema leo sijui kuna nini huko!?
Nyumbani nakuwa tofauti sheria za kazini naziweka pembeniNyumbani je?
Usicheke kuwa makini [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Asante sana chumchangDua nyingi njema kwako...
Safi,Nyumbani nakuwa tofauti sheria za kazini naziweka pembeni
Kweli kabisa [emoji120]Pengine kaenda kutimiza majukumu yake. Tumuombee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]