Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,838
- 37,523
Asa hapo ulipo una utu uzima gani bhana?Ila madame vijana wadogo watachafua tu bhana, watuachie watu wazima
Asa hapo ulipo una utu uzima gani bhana?Ila madame vijana wadogo watachafua tu bhana, watuachie watu wazima
Ndio maana mie silali kabisaaTafuteni pesa mle anasa
Nasomaga tu baadhi ya comment zako naishia kutikisa kichwa. Ndiyo maana nikasema wenye pesa wanafaudu. We "mkorofi" sana. Kitandani waweza kuua mtu weweSio muishie kutuona tu jukwaani.
Mtuone na vitandani tupoje



Lala ukue mdogo wanguNdio maana mie silali kabisaa


Sasa usiruhusu wenye pesa wakunyime "uhuru" wakati nchi ya vyama vingi hiiNasomaga tu baadhi ya comment zako naishia kutikisa kichwa. Ndiyo maana nikasema wenye pesa wanafaudu. We "mkorofi" sana. Kitandani waweza kuua mtu wewe![]()
Naona unanipimia, kwahyo miaka 38 unaichukulia poa.... Kama ndo hivyo kumbe nami bado kijana (tuunguze picha basi)Asa hapo ulipo una utu uzima gani bhana?
Vyama vingi kwenye makaratasi tu...Bado uko San Francisco?Sasa usiruhusu wenye pesa wakunyime "uhuru" wakati nchi ya vyama vingi hii
Miaka si ni namba tu kama kuandika 1 mpaka 5.Naona unanipimia, kwahyo miaka 38 unaichukulia poa.... Kama ndo hivyo kumbe nami bado kijana (tuunguze picha basi)
Nop, nilirudi zamani tu.Vyama vingi kwenye makaratasi tu...Bado uko San Francisco?
Umeanza sasa.. Nishakuwa mdogo wako tena mwanangu wa kanza yuko form 2 halafu wewe wanichukulia poaLala ukue mdogo wangu
Futa neno mchumba ili tuendelee basi mreboMiaka si ni namba tu kama kuandika 1 mpaka 5.
We kwangi bado mchumba kabisa
Ulikuwa unatafuta uhuru wa aina gani? Au mwenyeji wako alikuwa boring? Au ulichoshwa na mashoga kila kona?Nop, nilirudi zamani tu.
Kule hakuna uhuru kama huku.
Ila soon naenda kwa Madiba.
Ok nafuta buddyFuta neno mchumba ili tuendelee basi mrebo
WeeeeUmeanza sasa.. Nishakuwa mdogo wako tena mwanangu wa kanza yuko form 2 halafu wewe wanichukulia poa
Huku hata kama mtu hamjuani, mnapiga umbea kisawasawa.Ulikuwa unatafuta uhuru wa aina gani? Au mwenyeji wako alikuwa boring? Au ulichoshwa na mashoga kila kona?
Hatuna haja kubishana madame, karibu kwangu uje umwone kijana wangu... Halafu sina mke mengine twaweza saidianaWeeee
Uwe na mtoto wa form 2 utambe?
Hebu hukoo