Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Mnaweza kuhamia PM sasa namhala. Jaga ugandagune chiza unshike ng'wenuyu [emoji16][emoji16][emoji16]Hatuna haja kubishana madame, karibu kwangu uje umwone kijana wangu... Halafu sina mke mengine twaweza saidiana
Weeeee mie mke wa mtu.Hatuna haja kubishana madame, karibu kwangu uje umwone kijana wangu... Halafu sina mke mengine twaweza saidiana
Hapo ndio unapokosea sasa, maswala ya mke wa mtu hapa yanaingiaje. Inamaana mke wa mtu hatembelei majirani zake acha roho ya korosho banaWeeeee mie mke wa mtu.
Sitaki
Sawa.Hapo ndio unapokosea sasa, maswala ya mke wa mtu hapa yanaingiaje. Inamaana mke wa mtu hatembelei majirani zake acha roho ya korosho bana
Yaya namhala jinge story duhu jakusukuma ka muda kajeMnaweza kuhamia PM sasa namhala. Jaga ugandagune chiza unshike ng'wenuyu [emoji16][emoji16][emoji16]
Nadebile. Naling'wenyeji ung'wenumu ...Yaya namhala jinge story duhu jakusukuma ka muda kaje
Mikono yangu miwili yakungoja kukupokea mamito, mlango u waziSawa.
Nakuja Pm
Hiyeniyo lulu namhalaNadebile. Naling'wenyeji ung'wenumu ...
Asantw mkuu.JF yetu idumu. Na uzi huu uendelee. I am done for the day. Asanteni kwa matani na vicheko wapendwa. Mungu Azidi kutubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Akha.Mikono yangu miwili yakungoja kukupokea mamito, mlango u wazi
Haya kama umeamua kunipa mfadhaikoAkha.
Nakutania
Jamani my dear.Haya kama umeamua kunipa mfadhaiko
Nitafanyaje wakati wewe ndicho ulichonichagulia jamanJamani my dear.
Usifanye hivo
Mbona bado mapemaJF yetu idumu. Na uzi huu uendelee. I am done for the day. Asanteni kwa matani na vicheko wapendwa. Mungu Azidi kutubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ok babe.Nitafanyaje wakati wewe ndicho ulichonichagulia jaman
[emoji23]Umeanza sasa.. Nishakuwa mdogo wako tena mwanangu wa kanza yuko form 2 halafu wewe wanichukulia poa
Nashukuru kwa hilo sweetheartOk babe.
Nimeshakuelewa
HahahahahaNimekuja kufuatilia ili nijue kilichokufika halafu nimeambulia patupu. Nikikufungulia kesi ya kutoa ahadi hewa usije ukanilaumu [emoji16][emoji16][emoji16]