amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
poa lucas za masiku uMambo
Bado hujaopoa mtoto mzuri humu? kazana nduguNipo kama sipo.
poa lucas za masiku uMambo
Bado hujaopoa mtoto mzuri humu? kazana nduguNipo kama sipo.
Daah,uwezo wangu mdogo aisee,kwa ufupi siwezi kuopoa humu.poa lucas za masiku u
Bado hujaopoa mtoto mzuri humu? kazana ndugu
Salama tupoa lucas za masiku u
Bado hujaopoa mtoto mzuri humu? kazana ndugu
Hiyo verse ya cnn ya mangwear?We unazima taa na kuwasha feni kufukuza mbu ili ulale mi nazima taa afu nawasha TV natune CNN wacha nikawape pole Indonesia![]()
Ngwair alisema...."Usiisogelee meza kama huchangii unachomeza"......hahahahaaaaaaHiyo verse ya cnn ya mangwear?


Sina jinsi kwa usiku huu tu lakiniNimeona tu!
Hahaha hahaha bnaUsiwe hvo bna
Salama tu
Uache uvivu kutu quote watu wawili
uwezo wako mdogo kvp? wewe umekuja cc na moto ujue umepania kuopoa ndo maana nimekuulizaDaah,uwezo wangu mdogo aisee,kwa ufupi siwezi kuopoa humu.
Ila daah,kwanini umeniuliza swali hilo bibie ? Badala ya kunijulia hali aisee.
Nimeumia sana.....
Hahaha hahaha bna
ndio hvo. Si ni kiswahiliZile zilikuwa chai tu bibie....Shukuru hata nimewaquote mara nyingi naona uvivu kufanya hivo naishia kutag tu
uwezo wako mdogo kvp? wewe umekuja cc na moto ujue umepania kuopoa ndo maana nimekuuliza
Najifunza. ....ndio hvo. Si ni kiswahili
Njoo nikufundishe.Najifunza. ....
Shukuru hata nimewaquote mara nyingi naona uvivu kufanya hivo naishia kutag tu
uwezo wako mdogo kvp? wewe umekuja cc na moto ujue umepania kuopoa ndo maana nimekuuliza
sawa banaKuopoa nako kazi,yaani inabidi uache kazi ufanye kazi.....Shukuru hata nimewaquote mara nyingi naona uvivu kufanya hivo naishia kutag tu
uwezo wako mdogo kvp? wewe umekuja cc na moto ujue umepania kuopoa ndo maana nimekuuliza
Malipo yakoje?Njoo nikufundishe.
Muda ni kila siku kuanzia saa 6 usiku
Vyovyote utavotaka kunilipa mi nitapokea tuMalipo yakoje?
Tuanze j3Vyovyote utavotaka kunilipa mi nitapokea tu