Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
[emoji23]kule nilikua nachangamsha tu kijiweNashukuru....
Ikawaje ukawa mla mchaga?
Sio maneno ya kweli yale
[emoji23]kule nilikua nachangamsha tu kijiweNashukuru....
Ikawaje ukawa mla mchaga?
Siku hizi kuna majike dume yaani huwezi kujua mpaka litoe nguo uone mjurubeng [emoji16][emoji16][emoji16]wewe ukimuona binadamu hautaweza kutambua kama ni mwanamke au mwanaume?
MmojawapoNaelewa...ila inawaboa wengi. ....
Ahsante sanapole, tengeneza cocktail itasaidia kidogo
mmh! humu wamo wa hivyo...Utamjua tu....kuna issues za kike na kiume humu ndani. ..utaona tofauti katika hoja. ...
Mkuu ngoja mi nikufafanulie sasa.But there is a scenario where avatar is not there
Pole. Pengine ni allergies tu. Home remedies na dawa za allergy zinaweza kusaidia. Kuna dawa zinaitwa Allegra D yaani ukinywa kidonge kimoja tu kama ni allergies basi nusu saa mafua na chafya kwisha. Usisahau kunywa maji ya kutosha na kupumzika.Yani yanatesa mno..
Ahsante sana
Unataka jimama jimama kweli kama hili au unataka saizi ya kati?Jimamaa ntapata wapi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Pole. Pengine ni allergies tu. Home remedies na dawa za allergy zinaweza kusaidia. Kuna dawa zinaitwa Allegra D yaani ukinywa kidonge kimoja tu kama ni allergies basi nusu saa mafua na chafya kwisha. Usisahau kunywa maji ya kutosha na kupumzika.
Nakutakia uponaji wa haraka [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ahsante sana
Mimi na vidonge ni mambo mawili tofauti
Ila kama maji nimeyanywa sana
Nakutakia uponaji wa haraka [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kama hiiiiUnataka jimama jimama kweli kama hili au unataka saizi ya kati?
View attachment 886034
Wee jamaa mlinzi nini??? Au kazi yako ni night shift kila sikuWalinzi mmeucharaza usingizi ama vipi? Nimebakia peke yangu. Kulikoni?
Kabisa mkuu. Nalinda duka la wahindi hapa Kisutu mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]Wee jamaa mlinzi nini??? Au kazi yako ni night shift kila siku
Kazi unayo mkuu. Yataka mapafu na mazoezi hasa siyo lege lege hapo. Good luck bana...Kama hiiii