hivi huwa haya ni ya kwelii?Mapema hivyo?
Usikimbize ndege wa Mr Miller
hivi huwa haya ni ya kwelii?Mapema hivyo?
Usikimbize ndege wa Mr Miller
hiyo itapendeza na kuwarahisishia ndugu zangu ambao tunapata tabu kulitamka jina lako hilo la kiBrazil [emoji3][emoji3]
hivi huwa haya ni ya kwelii?
Unajua sisi wegine sio watumiaji sana zaidi ya kuperuzi tu hii Platform, naona watu wakiitana majina ya mahaba na wengine kutajana kabisa, ni kwamba wanafahamiana kabisa na wako engaged kabisa au?Haya yepi? ??
Mkuu, unauliza majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali?hivi huwa haya ni ya kwelii?
wavumilivu hula mbivuMtasubiri sana. ..mimi ndio wale
Bbade-Miller
Inasemekana hivyo. ...kama mimi walivyonikabidhi Mr Miller.[emoji2][emoji2][emoji2]Unajua sisi wegine sio watumiaji sana zaidi ya kuperuzi tu hii Platform, naona watu wakiitana majina ya mahaba na wengine kutajana kabisa, ni kwamba wanafahamiana kabisa na wako engaged kabisa au?
[emoji6][emoji6][emoji6]Mkuu, unauliza majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali?
Nikiuliza nitakuwa Mjinga kwa dakika tano ila nisipouliza nitakuwa Mjinga for Life time!Mkuu, unauliza majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali?
jibu ni AUnajua sisi wegine sio watumiaji sana zaidi ya kuperuzi tu hii Platform, naona watu wakiitana majina ya mahaba na wengine kutajana kabisa, ni kwamba wanafahamiana kabisa na wako engaged kabisa au?
Kila la kheriwavumilivu hula mbivu
Nenda baa yo yote iliyokaribu nawe...Na hapo mtaani ulipo lazima kutakuwa na majimama tu...Jimamaa ntapata wapi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Anhaa sasa mtajuanaje kama huyu ni Mwanamke kweli au Mwanaume kweli!Inasemekana hivyo. ...kama mimi walivyonikabidhi Mr Miller.[emoji2][emoji2][emoji2]
safi, nimependa hii attitude!Nikiuliza nitakuwa Mjinga kwa dakika tano ila nisipouliza nitakuwa Mjinga for Life time!
asanteKila la kheri
Ndio mkuu nauliza kwa maana sijui!safi, nimependa hii attitude!
Wewe kweli bado una kamba mguuniAnhaa sasa mtajuanaje kama huyu ni Mwanamke kweli au Mwanaume kweli!
Karibuasante