Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Akuu
Au kama vipi tukajifiche ?
Au kama vipi tukajifiche ?
Haha...usitufanyie ivyoTunawachora tu
Sikia kidogo tu kisha tunarudi.Akuu
Kwahyo tuhame kwanza kwa muda kisha turudi au unasemaje ?
Sikia kidogo tu kisha tunarudi.
Hapa wanga wengi hawachelewi kitumbua kukitia mchanga.Tubaki hapahapa
Hawakukuzi tukirudi tunawaomba msamah,watatusamehe tu niamini.Nitafukuzwa kazi
[emoji23] leo jukwaa limekosa member .tupo wachache mpaka uvivuHaha...usitufanyie ivyo
Wasi wasi wako tu..hapa kila mtu yuko poa hawamind vitu vidogoHapa wanga wengi hawachelewi kitumbua kukitia mchanga.
Hata hivyo muda wa kulinda bado,huu ni muda wa kuwindana kwahiyo kuwa na amani,ni kidogo tu....nihurumie mwenzio.Nitafukuzwa kazi
Siendi wadau waone udhaifu wangu....Wewe niruhusu tu nikufate mahala.Wasi wasi wako tu..hapa kila mtu yuko poa hawamind vitu vidogo
Hatari mimi ndio maana nataka nitoke nae hapa changanyikeni huyu bibie twende maeneo tukajimwaye mwaye.[emoji23] leo jukwaa limekosa member .tupo wachache mpaka uvivu
1:23Hata hivyo muda wa kulinda bado,huu ni muda wa kuwindana kwahiyo kuwa na amani,ni kidogo tu....nihurumie mwenzio.
Siendi wadau waone udhaifu wangu....Wewe niruhusu tu nikufate mahala.
Bado kidogo wakubwa wa lindo wana vuta vuta muda kidogo,mimi ni dakika chache tu,tafadhali.1:23
Muda wenyewe ndio huu
Ha! Ha ! Mkuu mpak nakuonea wivu Thad leo kaniacha kwenye mataaaHatari mimi ndio maana nataka nitoke nae hapa changanyikeni huyu bibie twende maeneo tukajimwaye mwaye.
Usinifanyie unyama huo mwana wa mwenzio. Najua unapenda kuficha siri,fanya hivyo basi twende mahala,yaani fasta tu....Nimegoma tuyamalize hapahapa
Komaaa umpate....... Mimi napambana lakini sioni dalili za kukubaliwa ila nakomaa mpaka kieleweke.Ha! Ha ! Mkuu mpak nakuonea wivu Thad leo kaniacha kwenye mataaa
Sikia..........Nimegoma tuyamalize hapahapa
yna2 .............Nimegoma tuyamalize hapahapa