JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Umefanya mapenzi ukitumia condoms kwa miaka kumi yote...Halafu unakuja kufa kwa Typhoid. Shwaiini kabisa !!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwan aliyeanzisha huu ulinzi alikuwa na lengo hilo la mtu ajifungulie geti, nyie hata kuheshimu kaz ya ulinzi hamuwezi eti eeh, au hadi mshurutishwe, fungeni geti wakuu mda bado tupo kwenye vikao tutarudi baadae
Hivi una muda gani hujafika hapa kibaruani? Bora wamefugua mapema nawe umeweza kuja kuripoti
 
Back
Top Bottom