Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Ndio yakoje ya Ngoswe?ha ha ha nenda pm yasije yakatokea ya ngoswe lindo likabaki jeupe
Ndio yakoje ya Ngoswe?ha ha ha nenda pm yasije yakatokea ya ngoswe lindo likabaki jeupe
PM kafunga huyu mimi namalizana nae humu humu.ha ha ha nenda pm yasije yakatokea ya ngoswe lindo likabaki jeupe
Ya ngoswe yana habari ndefu .........Ndio yakoje ya Ngoswe?
haya nakuachia uwanja mkuu ila mrejesho muhimuMtajua wenyewe lindo likibakia wazi,kwanza muda unaelekea kuisha hata kama tukichoma lindo,tunakuja kuwaomba msamaha......
anakuja kukupa majibu ZurriNdio yakoje ya Ngoswe?
Mimi binafsi nitakurejesheahaya nakuachia uwanja mkuu ila mrejesho muhimu
Utaona humu humu,si namalizana nae humu humu,ili hata kama nikipigwa cha mbavu muone na mjue.....haya nakuachia uwanja mkuu ila mrejesho muhimu
"Cha mbavu" umenikumbusha mbali sana. ...Utaona humu humu,si namalizana nae humu humu,ili hata kama nikipigwa cha mbavu muone na mjue.....
Nimekukumbusha wapi ? Ninong'oneze kwa sikio la kushoto."Cha mbavu" umenikumbusha mbali sana. ...
Niliambiwaga hilo neno sikujua maana yake nikaenda kumuuliza mtu akazidi kunipoteza. ..nilipokuja kujua nilibaki nachekaNimekukumbusha wapi ? Ninong'oneze kwa sikio la kushoto.
Acha kabisa,kukataliwa kunauma kinoma kibaya zaidi yule anae kukataa akawa anampenda mtu mwingine...... Daaaah utaomba ardhi ipasuke utumbukie ndani.Niliambiwaga hilo neno sikujua maana yake nikaenda kumuuliza mtu akazidi kunipoteza. ..nilipokuja kujua nilibaki nacheka
Ndio maisha. Nyanyuka usonge mbeleAcha kabisa,kukataliwa kunauma kinoma kibaya zaidi yule anae kukataa akawa anampenda mtu mwingine...... Daaaah utaomba ardhi ipasuke utumbukie ndani.
Ila mpaka kieleweke. Nakimbizana na muda ile ile.Ndio maisha. Nyanyuka usonge mbele
Poa Poa. ...tukijaaliwaIla mpaka kieleweke. Nakimbizana na muda ile ile.
Poa...... Oya waungwana,huku nimeshamalizana na bbade.Poa Poa. ...tukijaaliwa
Hujatulia ujue. ...nenda ukulale unahitaji kurefuka kidogoPoa...... Oya waungwana,huku nimeshamalizana na bbade.
Kwa umri niliofikia siwezi kurefuka tena labda niwe mgonjwa .........Hujatulia ujue. ...nenda ukulale unahitaji kurefuka kidogo
Hata nywele unarefusha ukilalaKwa umri niliofikia siwezi kurefuka tena labda niwe mgonjwa .........
Hata nywele unarefusha ukilala