Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,561
Nawe pia ulituahidiMr Miller ndio anaisimamia
Nawe pia ulituahidiMr Miller ndio anaisimamia
Napata wapi hizo doh?
Nilihaidi kwamba?Nawe pia ulituahidi
Mm na ambiele tutaenda swedenNilihaidi kwamba?
Ajue hatutanii. Tumechoka kula vumbii
Nitaridi kwenye ule Uzi nijikumbushe nilichosemaMm na ambiele tutaenda sweden
Sio lazima basi tuahidi leoNitaridi kwenye ule Uzi nijikumbushe nilichosema
Nawaunganishaje, Sweden nakusikia tu, labda Mr Miller atusaidie
Tutashukuru kwa msaada utakao tupatiaAjue hatutanii. Tumechoka kula vumbii
Niko nimelewa usingizi siwezi kutoa ahadi under influence...Sio lazima basi tuahidi leo
Wew unatuhaid nin kama watanzania wenzako au vijina wenzako ambao wanataka kujikomboa kupitiaa wwNitaridi kwenye ule Uzi nijikumbushe nilichosema
Wacha nicheke mie..😁😁🙈🙈🙈Wew unatuhaid nin kama watanzania wenzako au vijina wenzako ambao wanataka kujikomboa kupitiaa ww
Unatupa msaada gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu
Mimi mwenyewe nahitaji wa kunikomboa na uzee huu...sasa mpaka niweze kuwakomboa wenzangu....acha nijikomboe mwenyewe kwanzaWew unatuhaid nin kama watanzania wenzako au vijina wenzako ambao wanataka kujikomboa kupitiaa ww
Unatupa msaada gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazma sweeden popote pale urusi austaria england china popte tuu bbdae maisha ndio haya haya ndugu yetuNawaunganishaje, Sweden nakusikia tu, labda Mr Miller atusaidie