Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,565
Basi tusikulazimishe kufanya maamuziNiko nimelewa usingizi siwezi kutoa ahadi under influence...
Do what's right, not what's easy
Basi tusikulazimishe kufanya maamuziNiko nimelewa usingizi siwezi kutoa ahadi under influence...
Huko nafikaje?Sio lazma sweeden popote pale urusi austaria england china popte tuu bbdae maisha ndio haya haya ndugu yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa maneno yako inaonekana kuna neema itakuja....Niko nimelewa usingizi siwezi kutoa ahadi under influence...
Nakupenda kweli wewe u wangu wa pekee moyoni mwanguNimekusamehe... Ambiele kashauri vizuri sana
Hata mimi nimechoka kula vumbi kama kuna fulsa nipewe pia
😁😁Fighting for food..Nimependa maneno yako inaonekana kuna neema itakuja....
Ngoja tusubili jibu kesho katika lindo la ijuumaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa iv unapaka kabisa nguvu ya kucheka baada ya Astelia kudisha majeshWacha nicheke mie..![]()
Tuliahidiwa safar ya kwenda sweden kwa akina mohombiHata mimi nimechoka kula vumbi kama kuna fulsa nipewe pia
Nitalala kwa maisha gani?
Wacha nicheke you are a friend with benefitsSasa iv unapaka kabisa nguvu ya kucheka baada ya Astelia kudisha majesh![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hashindwi na kituMimi mwenyewe nahitaji wa kunikomboa na uzee huu...sasa mpaka niweze kuwakomboa wenzangu....acha nijikomboe mwenyewe kwanza
Ndoa yenu bbdae atakuwa mwenyekitNimekusamehe... Ambiele kashauri vizuri sana
Ah ah ah ah ah ah swali jepesi lenye majib magum daaaaahHuko nafikaje?
Utakua bestman
Ah ah ah ah mtt tulia akipata Davinc umepata ww acha Davinc akatoke jashoHata mimi nimechoka kula vumbi kama kuna fulsa nipewe pia
Wew hutakiw kusema ivyo ww sema fighting for AsteliaFighting for food..
Vitu gani hivyo?