Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,542
- 2,474
Snanitesa mkuu sana
Sio vzr jaman kama kuna na shida mahal tujuzane jamanNilikuwepo sikutaka hata kuwapa salamu wachelewaji ni wakina bbade
Mbona hujanitafuta?
Relax ndugu yangu mambo mengine simpo tuu sema uyu mdogo wangu Astelia kitu kidogo anataka kiwe kikubwaAmbiele hebu mueleze ni jinsi gani nampenda Astelia labda haniamini
MmmmhhNimechelewa Bahati mbaya...nilikuwa nimepitia mahali kupata muhktasari wa habari kidogo...mnisamehe
Nenda ukafarijiwe naona unao wengiSielewi najiona tu sina furaha hafu niko down
Ndio....
Wewe wakusema hivyo na wakati umekuwa shahidi wa mambo yote hadi ukaniita nisingejua
😢Nenda ukafarijiwe naona unao wengi
Ile ni jokes ah ah ah ah ah Astelia bhanaWewe wakusema hivyo na wakati umekuwa shahidi wa mambo yote hadi ukaniita nisingejua
Bado anatafuta hajaridhika mimi sio furaha yakeKwann tena jaman mamii
Unajua sipend ukasilike tell mi shida nin?
Furaha yangu kuona Ndugu yangu Davinc awe na furaha na ww uwe na furaha
So mmoja akikosa furaha roho inaniuma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama icho Davinc namjua na ninajua upendo wake upo wap ila nimchangamfu so usimuhukum kupitia post za ajab ajab plzBado anatafuta hajaridhika mimi sio furaha yake
Hapana sikuamini tenaAmbiele hebu mueleze ni jinsi gani nampenda Astelia labda haniamini