Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,542
- 2,474
Leo sifungi naondoka mapema muoneshe ynaAkija nishtueni, nataka nikamwoneshe jinsi ya kifunga geti lile kuleee.
Eti leo me ndio nifunge kweli!!!
Kwann tena jaman mamiiNipo nina hasira leo sitokaa muda mrefu
Wivu ee unayoyafanya unadhani sijayaona!?Acheni kumsema baasi toto langu nina wivu pia
Nilikuwa napitia yaliyojiri
Nilikuwepo sikutaka hata kuwapa salamu wachelewaji ni wakina bbadeMwamshe aje kwanza atuambie kwann amechelewa kuripot kituo chake cha kaz?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yapi madreWivu ee unayoyafanya unadhani sijayaona!?
Nimecheka tu kwakweliNdo maana nampeleka kwenye lile geti dogo upande wa kushoto.
Yap hayo nimchape sasa ivWivu ee unayoyafanya unadhani sijayaona!?