UmenisusaNaomba nimkabidhi Ambiele
Kuchelewa ndio ubini wangu. Asinilaumu sana.Adhabu inakuhusu boss kashajua tabia yako ya kuchelewa
Najua nini Mimi?
Mautumbo!! mapenzi bhana hata kitu kidogo yanaumaIle ni jokes ah ah ah ah ah Astelia bhana
Mi nikajua sijui nin kumbe yale mautumbo achana nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ww unaweza pekee angu sitowezaNaomba nimkabidhi Ambiele
Sijui kususa,mbona?Umenisusa
Makosa yap tena hayo.....Unamtetea tu kila kitu nakiweka wazi makosa yake yooote
Kitambo upo muteSijui kususa,mbona?
Kwanini umefikiria hivyo?
Kweli wewe ni msuluhishi
Sijui kinachoendelea, habari kamili naipataje?Hata ww unaweza pekee angu sitoweza
Kidole kimoja hakivunji chawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Oohh jukwaani au nyuma ya jukwaa?Kitambo upo mute
Kote koteOohh jukwaani au nyuma ya jukwaa?
Kazi unaiweka mashakaniKuchelewa ndio ubini wangu. Asinilaumu sana.
Wafanya nini..?
Ampe bbade mwenyewe nasepa muda si mrefuLeo sifungi naondoka mapema muoneshe yna
Naweza kuharibu kumbe? Nakaribia kustaafu lakini.Kazi unaiweka mashakani
Ah ah ah ah aya bhana juz ulikuwa unapiga vigele gele vya nin?Najua nini Mimi?