Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Nakusalimu makamu naibu mlinzi00:00: Geti limefunguliwa rasmi na makamu naibu mlinzi mkuu msaidizi.
Ohhhhhhhhhh gashhhhhhhh
Sijambo, furaha sana kukuona Lindo
Niko stressed leo nadhani sitachukua muda mrefu
Sawa..yupo njiani atafika muda si mrefuNamsubiri jamaa nimwachie funguo za geti, maana kwenye kufunga ntakuwa sipo.
Sina tabia ya kudanganya mkuu.Eti stressed!
Acha hizo mkuu.
Ah ah ah ah ah Davinc bhanaNiko stressed leo nadhani sitachukua muda mrefu
Ahsante le madame
Namm mkuu
Sina tabia ya kudanganya mkuu.
Najiujua shida ni pale naposhidwa to run away from stressSiyo kidanganya, nimewaza tu kwamba uko stressed na umejijua
Ah ah ah ah ah mtt mzur kama uyu unamwekaje katika lindo la getAkija nishtueni, nataka nikamwoneshe jinsi ya kifunga geti lile kuleee.