Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Kahawa hapana mkuukuna
kuna member ana kahawa humu jaribu kugongea itakusogeza kidogo
Wacha nilale
Sent using Jamii Forums mobile app
Kahawa hapana mkuukuna
kuna member ana kahawa humu jaribu kugongea itakusogeza kidogo
Good Luckwapendwa tupo lindo wote but nawaacha kdg maana kesho ni paper saa mbili aysee
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaipata hii Ngiyaz'fella Ngawe ya Kwesta??Namimi ipo hvo napenda sana wanavyochana kilugha chao.. japosielewi
Kahawa hapana mkuukuna
kuna member ana kahawa humu jaribu kugongea itakusogeza kidogo
huyo mCongo kumbe....ngoja aje@lucas mobutu
Ndio mkuu kwesta namfuatilia kwa ukaribu sana baada ya K.O kuwa iddle kwenye gemu.
Huyu huwa anatumia maji mkuukuna
kuna member ana kahawa humu jaribu kugongea itakusogeza kidogo
Natoa huduma ya kukuliwaza bure kabisa ila kama ni mtanzania tu
K. O kapotea sana,, bt SA nw wapo wengi sana na wanafanya vzr zaidi,,,jarbu kuwacheki hawa Shane Eagle, Emtee, Yanga, A-Reece, KLYNdio mkuu kwesta namfuatilia kwa ukaribu sana baada ya K.O kuwa iddle kwenye gemu.
Emtee hua simwelewi, labda Yanga,Khuli chana,Maggz,Kidx,Nasty c, D black na wengineoK. O kapotea sana,, bt SA nw wapo wengi sana na wanafanya vzr zaidi,,,jarbu kuwacheki hawa Shane Eagle, Emtee, Yanga, A-Reece, KLY
Sent using Jamii Forums mobile app
Emtee hua simwelewi, labda Yanga,Khuli chana,Maggz,Kidx,Nasty c, D black na wengineo
Umesikiliza album yake mpya MANANDO?? Iko vzr sana,,, pia mtafute huyu jamaa anayeitwa Shane Eagle jamaa anajua sana,,,, ana ngoma moja inaitwa JULIA,,,
Pamoja bro,,, EnjoyOppppss sijaisikiliza mkuu. Ngoja nianze kumfuatilia..