Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Oi oi oi
Oi oi oi
Wakubwa salama humu ndani?
wakukeshea papuchi mupooooo
s madam🙈🙈
Dah! aisee,sijui maana ya kudanja ila mi nipo sana mkuu ila sikuwapo hapa nchini ndio nimerudi nw.
Wakenya walalavi sana sijui km wamo humu...uzi ungedorora sana.Wakati tumehamia Kenya tulikutafuta utuanzishie uzi wetu huu, ukawa haupo, watu wakasema itakuwa umetekwa labda.
Nimefurahi sana kukuona mkuu, karibu tena maskani.
Wakenya walalavi sana sijui km wamo humu...uzi ungedorora sana.