JamiiForums Usiku wa manane
Hahaha naona mida mida watakuja,,, jana ukamkimbia,,, atakuwa alimind

Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi (jmos) nililala msibani nikatoka saa 9 usiku,saa 2 ikatikiwa niwe nishafika kanisani, baada ya kutoka kanisani saa 9 tukaenda kutandua msiba. Kwahiyo jana usiku nilikua nina usingiz wa hatariii ndio maana nilipitiwa bila kuaga..
 
Aisee,, pole sana chief, ndio ukubwa huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom