Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Aisee, naona akili inazidi kufunguka, kumbe kaka wa Cc bbade ndo amekaba nafasi sioe.![]()
Sent using Jamii Forums mobile app




Wamelala, na wewe sasa ukalale
Wamelala, na wewe sasa ukalale
Sawa
Dah kwa SAA za kwenu sawa,hapa nilipo ni SAA 05 :07 ,bado lisaa moja iwe kumi na mbili ,bado niko lindoni,Hahaha
Wanafunga geti kwa masaa ya Afrika Mashariki .
Hahahahaaa.. endelea kulinda tuDah kwa SAA za kwenu sawa,hapa nilipo ni SAA 05 :07 ,bado lisaa moja iwe kumi na mbili ,bado niko lindoni,Hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee,haya ,sie wa Central Africa imekula kwetu ,haya asubuhi njema ,wakuuWanafunga geti kwa masaa ya Afrika Mashariki .
Tuvumulie tu, hakuna jinsi
Mrembo bbadeWanafunga geti kwa masaa ya Afrika Mashariki .
Tuvumulie tu, hakuna jinsi
Toka jana hadi milele kiongozikuanzia kesho atakua mpenzi wa nani?
Kwako sikumeshakucha?Mrembo bbade
Ndio 12.00 sasaKwako sikumeshakucha?