Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,655
Kuna mtu kaniroga usingizi...anaona nafaidi sana nikikesha hapa. Naombeni mchango niende Msata kwa mshana jr akanirogoeThad umepotelea wapi?

Kuna mtu kaniroga usingizi...anaona nafaidi sana nikikesha hapa. Naombeni mchango niende Msata kwa mshana jr akanirogoeThad umepotelea wapi?

Nilikutag mahala hukutokea.....Mbn mapema Mkuu
Nipo hapa kamanda mzee mkavuMbona rindo halina mtu
Kwenu saa ngap sahv.popooooz
Nipo, sinaga off
Niko mpwekeeBado mida
HaiwezekaniNiko mpwekee
Sijaelewa bbadeHaiwezekani
Nimesema haiwezekani ukawa mpweke.....Sijaelewa bbade
Mmmhhhh wadau leo wote wamesinzia...Nimesema haiwezekani ukawa mpweke.....
Mbona tupo wote hapa
J3 sio siku nzuri....inachosha sana...Mmmhhhh wadau leo wote wamesinzia...
Naam mahengova ya jumapili yanachangiaJ3 sio siku nzuri....inachosha sana...