Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,655
Kama kweli unataka kunisaidia nitumie muamala ninunue japo kreti moja tusikugombanishi mimi..nakusaidia
Kama kweli unataka kunisaidia nitumie muamala ninunue japo kreti moja tusikugombanishi mimi..nakusaidia
Basi kumbe hazinifaiwewe kwako zitaongeza nguvu ya ndoa
Sana tuunaweza kufa na mimi?
twende...kreti zipo nyingi tu,Kama kweli unataka kunisaidia nitumie muamala ninunue japo kreti moja tu
Husaidia macho kuona vizuri
Husaidia kuondoa sumu na taka mwili mwilini
Huondoa pia matuta ktk ini
Una matuta kwenye ini nini?asante sana![]()

Wapi?twende...kreti zipo nyingi tu,
haya nakuja tukafe basi...sawa!Sana tu
matuta kwenye ini ndio nini?Una matuta kwenye ini nini?![]()
sawaBasi kumbe hazinifai
Itakubidi usubiri kwanza nimalizie hii kreti yangu ya 7, sawa?haya nakuja tukafe basi...sawa!
nyumbaniWapi?
hapana,Itakubidi usubiri kwanza nimalizie hii kreti yangu ya 7, sawa?
Mwulize dingimtoto, mi mwenyewe sijuimatuta kwenye ini ndio nini?
Bia ukiinywea nyumbani, haina tofauti na chainyumbani
Basi usijehapana,
haya nitamuuliza baadae, ngoja pafungwe humuMwulize dingimtoto, mi mwenyewe sijui
funga mlango chief,
Hatujavamia, tulikuja kufukuza mwizi aliyekuwa amevamia kijiwe chetu

Unataka anifungie nje au ndani?funga mlango chief,
