bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,642
Hujanistua km unaenda kijiweni.Lini na wapi?
Hujanistua km unaenda kijiweni.Lini na wapi?
karibu san my angeloAnjelo wako nimekuja pia
Mimi ni mstaafu hapa nawasalimia tuMkuu naona leo uko zamu.
Nshakaribia, niko na gwanda na kirungu changu hapakaribu san my angelo
Mdomo wangu umebaki wazi aki....
Usinichonganishe na InnaNilimtuma Thad akuite
Nipo zilipendwa wangu. Mzima?Hb my x upooo
Mkuu hao ni ngombe wa kuchomaJamani hii baridi hii what is wrong?????View attachment 812147
Kaka yupo kazin anageuza geuza maiti nipo alone
Ndio imetorokaKwikwikwikwi vp imetoroka shamba nn?
Angalia asikumizeNimeshazoea mmasai wangu ashachomeka mkuki nje so niko occupied for now
Yap wifii kaniacha peke yangu misukule imetorokaWifi wangu kuna baridi kwani kaka ameenda zamu kule mortuary leo?
Nisamehe bure, tatizo leo kutwa nzima tunachengana, ukiingia mimi nimetoka nikiingia sikukutiHujanistua km unaenda kijiweni.
Unamuwaza wakati niponae zamu hapa....Nilikuwa nakuwaza muda si mrefu
Shukran naomba ufungue mara mojaMP yangu nilisha ifunga mkuu... tehteehhh
Kamata hiyo rudisha kwa Shamba hakuna leta mchezo na production aiseeNdio imetoroka
Ooooh ananilisha madesaaaWakufunga prime minister uwe wewe?
Member of Parliament(MP) cheo kikubwa aki....MP yangu nilisha ifunga mkuu... tehteehhh