Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,676
Amelala bana kwa uchovuVp shemeji anabana nn?wacha mabarubaru tuusogeze usiku buana
Amelala bana kwa uchovuVp shemeji anabana nn?wacha mabarubaru tuusogeze usiku buana
Duh! [emoji848][emoji848] sasa si unakosa uhondo wa jf?Nikiamua kuifunga mkuu, maana wifi wako anayo nywila ujue..... tehteehhh
Weeeeeee mi leo nimechoka bhana shamba siendi hata kwa fimboNdo naikamata mmoja mmoj naanza na wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuomba pm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa Mods wanavyo sutwa vile.... tehteehhh[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Leo mdomo utalala wazi kabisa..... tehteehhh
Kumbe ndio wewe hapa karibu yangu uliye mdomo wazi?[emoji23]Unamuwaza wakati niponae zamu hapa....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mnawaonea bure wanaume wa dar hao ng'ombe wapo huko huko mikoaniWanaume wa Dar mmeambukiza wanyama tabia mbaya....tangu lini ng'ombe akaota moto[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Inabidi tu nikuwe mpole mkuu, nimerudi kuvizia wale wa Corner Bar....[emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12]Duh! [emoji848][emoji848] sasa si unakosa uhondo wa jf?
Wewe tangu lini umeona ng'ombe hajaota moto...Wanaume wa Dar mmeambukiza wanyama tabia mbaya....tangu lini ng'ombe akaota moto[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wapi huko? Kweli leo nimepitwa na msuto, nielekeze nikaambulie kidogo[emoji6]Kwa Mods wanavyo sutwa vile.... tehteehhh[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Leo mdomo utalala wazi kabisa..... tehteehhh
Kahawa ipo?
Tiririka na kuserereka tu mkuu, mihuyo alishaga nishinda tabia na kwanza natafuta wa kumgawia tu.... tehteehhhUshimen kanipiga biti acha nikae kimya
Hii kamba, wewe na hiyo mipengo yako mdada gani wa kukufuata?[emoji23][emoji23][emoji23]Nilishaga ifunga mkuu, maana skuizi PM za wadada zilizidi wallah.... tehteehhh
Nilishaga ifunga mkuu, maana skuizi PM za wadada zilizidi wallah.... tehteehhh
Haya sasa tumia chance vizuriAmelala bana kwa uchovu
Peleka Menu (PM) mezani kabla sijafika..Huku Ushirombo ni Pale Mwembeni (PM)....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Almaarufu kama kaniitieni![emoji23]Huku Ushirombo ni Pale Mwembeni (PM)....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nawapenda sana naombeni nilale maana nimesikia kishindo kama jiwe limeanguka yawezekana asali wa moyo wangu mganga karudi na misukule ngoja nikampokeee
Nimesha kufungulia ukuje wewe tu...[emoji39] [emoji39] [emoji39]Fungua banaa kwani hujui kuwa mwanaume habani miguu lakini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]