JamiiForums Usiku wa manane
hakuna sijaipenda hata
karibu tukeshe
ndo maana sijaipenda mambo ya kupaa tena
ndio ni OMOTOLA JALADE a.k.a Omosexy
haya,ngoja nvute subra hapa
nipe stori yake huwa si mpenzi wa nollywood,ila nampenda appearance yake plus idadi ya wanae na still looking hot
Nelson Umenfanya nicheke,niache bana mwenzako aliniliwaza
kumbatia mto fumba macho
kidogo niandike sijui niamke nisonge ugali natamani chips zishuke kitandani nzishughulikie
mpigie simu akubembeleze ulale,mimi hapa kuna mtu kanlalia kifuani anakoroma namuonea wivu hatari natamani ningekuwa yeye
huo uchokozi sikuiamalizia hata nliogopa kupaa
mpigie yule anaefanana na waziri ummy mwalimu
watu woyo tunaongezeka tu idadi
acha na da vinci nasubiria stori ya omo ila njaa inauma jamani natamani mtu aniletee chakula wanaotoka viwanja mda huu
dar kuna kaubaridi cha kijinga sana mda huu
anajua id yako ya jf?
baridi hii na maji mengi unataka njikojolee?
mimi shuka yangu ndogo inakoroma tu hapa mara ipande kifuani mara hataki nimkumbatie ili mradi fujo tu
acha tu niendelee kusugua goti nipate shuka la kudumu hii hali sijaizoea kabisa
hii shuka yangu ndogo inayonpiga mateke hapa?yes ni ya dar
chakula ninacho kwa friji ila uvivu wa kuamka kupasha na kuanza kula
mimi hapa
wewe unatoka nje ya mstari hapa tunachangia kuanzia 6 usiku mpaka 11 alfajr si mda huu
Aseee
 
Back
Top Bottom