Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
naomba niwe mshika daftari la kutick lokoo yakoJamani itabidi niwe naja mara moja moja tuu

naomba niwe mshika daftari la kutick lokoo yakoJamani itabidi niwe naja mara moja moja tuu

Tatizo palipooza sana, nilikuwa nakuja kimya kimya![]()
hata mimi ninaona maana binti kapotea ghafla huku kijiweni
hongera sanaHahahah
Mimi ni mtoto wake wa kwanza
Kwa hiyo na midevu yangu nalelewa vile vile
Alistaafu baada ya kuoa.muulize umri wa kustaafu ulifika au alistaafishwa?
Hahahahhongera sana
Aaahnaomba niwe mshika daftari la kutick lokoo yako![]()
Safi sana
Bado mda banah, wamuache iceman adeke deke kidogo
Sawa!! Wewe endelea kulea missTatizo palipooza sana, nilikuwa nakuja kimya kimya
mumu mzima kabisaNey wa ice yu salama salmin. Mumu hajambo?
HahahaBora umenisemea mkuu maana sauti yangu si kitu tena mbele ya hawa viongozi
ooho! sawa ngoja nitaangalia faili lake...atapata mafao asijaliAlistaafu baada ya kuoa.
Nika mwambia akuone mnadhimu mkuu wa jeshi.
Anastahili mafao yake ya kamanda wa kikosi cha ardhini
EheeeeYou're my baby, my fantasy and only desire![]()
ulikuwa wapi kutoa taarifa mapema?Bora umenisemea mkuu maana sauti yangu si kitu tena mbele ya hawa viongozi
Teh teh tehBado hajaacha kunyonya tu....

kwannAaah
Ney atakuwa haji everyday jamani
Anakuja ana wa bless mara moja moja tuu