dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,343
Wachaa wee ila hizi couples za humu, daah ni shidaaBado sijajifungua dingi, ila kwasasa namlea mtoto mkubwa iceman 3D
Wachaa wee ila hizi couples za humu, daah ni shidaaBado sijajifungua dingi, ila kwasasa namlea mtoto mkubwa iceman 3D
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Bado sijajifungua dingi, ila kwasasa namlea mtoto mkubwa iceman 3D
maternity leave alikua hahahaUmeona watu walijua uko likizo eti mpenzi
Couple yetu si shidaa ni raha mkuu[emoji1]Wachaa wee ila hizi couples za humu, daah ni shidaa
Mkuu hii sasa ni information nimesha ichakatua kutoka kuwa raw data kwenda kwenye informationUmeona watu walijua uko likizo eti mpenzi
Na mumu ulimuacha wapmmh!
Mm mzima kabisa afya njema, Mungu ni mwema....sijui Ney wa Ice?Hii mzima wewe [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]maternity leave alikua hahaha
hahaha[emoji4] [emoji4] [emoji4]
My baby.
Ahsante kwa kunilea
[emoji3] [emoji2] hata mimi ninaona maana binti kapotea ghafla huku kijiweniCouple yetu si shidaa ni raha mkuu[emoji1]
kweli kabisaCouple yetu si shidaa ni raha mkuu[emoji1]
Aaah[emoji3] [emoji2] hata mimi ninaona maana binti kapotea ghafla huku kijiweni
Bado naendelea kupigwa dana dana kwenye mafao yangu, Wazalendo hatuna thamani tenaSir General
Nimefurahi kukuona
[emoji23][emoji23][emoji23] na ndevu zote hizo, hiyo leave nani alimpa?![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnamsingizia Ney wangu
Alikuwa naternity ya kunilea mimi
Hongera sanaAaah
Nikiwa sipo spendi aje
But she is alright kabsa acheni na mimi nipate raha jaman
Haya, kula raha,Aaah
Nikiwa sipo spendi aje
But she is alright kabsa acheni na mimi nipate raha jaman
Bado hajaacha kunyonya tu....Bado sijajifungua dingi, ila kwasasa namlea mtoto mkubwa iceman 3D