Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Okey babyEeeh mpenzi
Mara moja moja saaana, wasizoee kukuona sana lakin
Okey babyEeeh mpenzi
Mara moja moja saaana, wasizoee kukuona sana lakin
There goes my babyTeh teh teh
Huyu siwezi mwachisha kunyonya haki vile, watanyang'anyana hivyo hivyo na kichanga. Kumuachisha yeye kunyonya ni kumnyima haki yake ya msingi mpenzi wangu embu muacheni jamani khaah

ni mtu muhimu sana huyo na jeshi bado linamuhitaji sanaHahaha
Ata kushughulikia Sir
Utumishi wako kwa jeshi letu unatambulika
Embu nipe habari, mbona sina taarifa zozote jamaniJuzi juzi tu, kuna watu walitaka kuzipiga kavu humu jf
Atakuwa ana chokakwann
Hizi figisu hizi...muulize umri wa kustaafu ulifika au alistaafishwa?
pole chiefWandugu mkeshe salama ngoja nitafute usingizi![]()
Yaani acha tuu mpenziHahaha
Wameanza maneno maneno mpenzi
Hahajani mtu muhimu sana huyo na jeshi bado linamuhitaji sana
naelewa ila awe anatutembelea hata kidogo....Hahaja
Ndio kamanda lakin moneyT naye ana muhitaji zaidi.
Tumpe pensheni akaitumie na mkewe
Baby embu kaburudike na ule wimbo waThank you my love
Hizi figisu hizi...
Yesbado anahitajika sana ktk hii sekta hata kwa mawazo tu...asiende kutusahau
Teh teh tehnaomba niwe mshika daftari la kutick lokoo yako![]()
Hapo umeweka kila kitu wazi ngoja nione nitarukwa wapi tenaAlistaafu baada ya kuoa.
Nika mwambia akuone mnadhimu mkuu wa jeshi.
Anastahili mafao yake ya kamanda wa kikosi cha ardhini
safi, na funguo abaki nazo tuYes
Amesema atakuwa ana kuja kutoa ujuzi wake sometimes
kwannTeh teh teh
Kukiwa na uangalizi huo ndio nitapotea kabisa sijiwezi