JamiiForums Usiku wa manane

Mimi michakato inaenda taratibu kama Treni ya zambia
Hahahhhh wee mkuu nahs yako ipo speed kama gari za mwendo kasi ila ndio hvo lazma tuendane na Sera ya nchi, jamaa mmoja kaniambia ukitaka nchi hii utoboe yan kweny kila sentensi zako tano mila unapoongea basi jtahidi kujizoesha kutamka sentensi mbili tu za "Kuhusiana na Viwanda" ukizoea tu kuunganisha mambo yko na kiwanda umetoboa.
 
Yaan mwenzio nawish nipate chance niende abroad nchi hii naona siishi bali na survive tu
 
Back
Top Bottom