JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Lakini nimefuatilia tokea msimu wa hizi mvua mfululizo zianze, kumekuwa na uungwaji mchache sana wa ushirika hapa jamvini. Inabidi kifanyike kikao cha dharura.
Kwa kweli mimi mwenyewe kamanda wa kikosi cha anga niliona watu wna niangusha
Nikavua magwanda na nilikuwa busy kiaina pia.

Sema ni ngumu kuwapangia watu ratiba kama zimechange
 
Kwa kweli mimi mwenyewe kamanda wa kikosi cha anga niliona watu wna niangusha
Nikavua magwanda na nilikuwa busy kiaina pia.

Sema ni ngumu kuwapangia watu ratiba kama zimechange

Acha tusubirie hii ligi ya mvua iishe tuone msimu ujao itakuwaje. Watu wamewekeza sana kwenye hili jukwaa. Kufa kizembekizembe haitapendeza.
 
Acha tusubirie hii ligi ya mvua iishe tuone msimu ujao itakuwaje. Watu wamewekeza sana kwenye hili jukwaa. Kufa kizembekizembe haitapendeza.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Lakin imekuwa ni kawaida hili jukwaa watu huja na kuondoka
Japo it seemed kuwa uondokaji wa sasa ulikuwa kama group
But nadhani walo ondoka ni ngum kurudi
 
Back
Top Bottom