Halloween my x my chubbyDemiss my x nimekumiss sana
Inna sina hata neno nitakutembelea huko ulipo.
Thad jirani yangu aigooo hata si elewi.
Meserati nakuomba unitumie list ya best movies and series.
Mimi pia nipoHaya mi nipo
SawaKwa mamlaka niliyopewa naomba nifungue milango ya mjengo mda huu, hvyo Ruksa kupita hapa na kusema chochte ila wa mwsho kupita hapa akumbuke kufunga mlango.
![]()
Tril 1.5 hazionekani zilipo.Jamani humu siku hizi, doro sana au ndio mnaijenga tz ya viwanda
Pale bernabeu hakupoi leo..mie naungana nao nyuma ya keyboard tu mpk jogoo wa mwisho akiwika..Usiku wa manane naenda nao sawa leo mpaka majogoo maana pale Santiago Bernabeu ni milipuko na makelele ya shangwe!
SawaAlafu nina neno humu
Usiku wa manane naenda nao sawa leo mpaka majogoo maana pale Santiago Bernabeu ni milipuko na makelele ya shangwe!

Nakunasa soon shauri yakoNaotaaaaa napaaaaa
Wakuu, Kumbe bado mnakodo? Nilifikiri mmeshaangusha gari.Nakunasa soon shauri yako
Natafuta round ya pili ya usingizi sasa hiviWakuu, Kumbe bado mnakodo? Nilifikiri mmeshaangusha gari.
Nimeshtuka gafla tuuuWewe mbn hujalala![]()