Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,009
- 17,471
Mimi namshughulikia shemeji yako
Kumshughulikia huko jmn na kibard hiki anafaidi htar.[emoji39]Mimi namshughulikia shemeji yako
Kapotea xna hyu Mzee kijana[emoji23][emoji23]Mwifwa hajatokea humu leo?
Bora hyo mvua maana usingekuja humu kusalimiamvua imekatika na usingizi umekata ..
kweli kabisa mkuu...hapa naskia kelele za mbwa wakibweka tuBora hyo mvua maana usingekuja humu kusalimia
This food tho. Na leo sijala vizuri hapa Nina njaa hatarii
Pole,This food tho. Na leo sijala vizuri hapa Nina njaa hatarii
Yule Mtu wangu mzima kabisa??Shemejii yangu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Popooz leo mnatafuta wapi chakula [emoji39][emoji39][emoji39]
AmiinInshaallah.
Shemeji,yupo lakini wameenda znz hukoYule Mtu wangu mzima kabisa??
Asije tu akasahau kuwa nam miss sana.
Nilishapoa na usingizi ukafanya yake,nilidamka mapema kwenda kulaPole,