JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jamani leo mmewahi kulala eeh?
Leo wamewah kulala wap ukiona hvo mvua inayesha mda huu watu wanalipa wengne wanapalilia yan balaa tupu[emoji3][emoji3][emoji3] wengne wanafua vyuma,wanaranda mbao,wanapga deki usafi wa nyimba zao daaah haki ya nani Mungu alituweza sana kutuamuru kufanya kazi usku.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Khaaaa
Watu wako njema Jf hii
Wana wajibika
 
Naomba kuuliza,hivi kuna wadudu wana Dhambi kama mbu yaanai:
wanakung'ata
wanakusababishia maumivu
wanakukatia usingizi
wanakuambukiza malaria n.k
 
Yan Ndoto nyingne za kifala sana bhana.
Tangu saa tano kasoro nmelala nkajkuta naota nmeingia sehm hv kwny chumba kikubwaa nkakutana na hela nyingii sana si nikaanza kuzikusanya bhana yan nmekusanya nying sana kweli mpk nkajsemea hapa mama watoto lazima anione kidume nkirud geto..
Aaaaah nimeshtuka napigwa bonge la bao la mgongo kuchek ile kushtuka fasta nkajua hapa nshakamatwa tyari ntanyanganywa pesa zoteee, ndio nashangaa mke wangu ananimbia "Baba Wawili" "jaman mbona una visa jamani sasa unakusanya shuka lote kifuani ili iweje mume wangu" daah ikabid nishuke ktandan niwashe tv tu maana ni aibu hii.
Nipo naangalia filamu hapa mda huu inaitwa "Mbuzi kala mkeka". Hahahhhhh Mzee legeza kidogo mpk kwny ndoto maisha magumu.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom