JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mtoto alimkuta baba yke bize na simu smartphon mwenyew katoka kuoga ana kitaulo chake akamuambia:

Mtoto: Baba kulee mchokoziii (kwa kitoto).
Baba akamwambia mwanae
Baba: Haya kamlete nimchampe mwanangu sawa eeeh nenda ukja tu nitamchapa sana(huku bize na smartphone)
Mtoto akaenda nje kumbe kulikuwa na lijoka kubwa linahema lilikuwa linamalizia kumeza jogoo Dogo asivyoelewa akaliburuta mpk sebleni kwa baba yke ili Joka likachapwe bhana wee
Mtoto:Baba hyo chokozi mimi (in baby voice)
Baba: Uwiiiiiiiiii,mama eeeeeeeh mamas zake ww mtoto mganga sio bure njoo mama kibunye huku mwanao eeeeeeeeh mm sio damu yangu hii toa bhana ww mtoto hyu mtu wako.(kapanda juu kochi hoi taulo hajui lilipo.
Motto:Baba ingine hyo apo inakung'ata hapo.
Baba:Toto hili sio damu yangu wallah(akifunga taulo sawa)[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamaa eti amesema si mtoto wake huyo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jamaa anaona toto linamletea mapichapicha uskute jamaa alikuwa anatuma text ya kuomba hela sasa ameambiwa unataka shng ngap?ndio mtoto anaingia na lijoka lazma utupe smartphone tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom