Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
Mpo poa humu
Tupoooo
Asee vipi wale madogo wanendelea kukusumbua?
Mpo poa humu
Ni kama ulitukana au?
Alihama KKKichwa kichafu upo kweli ?
KaribuuHabari zenu ndugu zangu?
Ni kama kamshangao fulan hiv kakiamerica...what the f**kNi kama ulitukana au?
HahahaUwaaulize wamepataje jibu![]()
Saa hizi ni usiku watt wamelala you can jus say ***Ni kama kamshangao fulan hiv kakiamerica...what the f**k

Do you support this??Ni kama kamshangao fulan hiv kakiamerica...what the f**k
Hivi ukitoa kauli mbovu kwa jiwe mida hii kufutwa ni mpaka asubuh??Saa hizi ni usiku watt wamelala you can jus say ****
![]()

HahahahaHivi ukitoa kauli mbovu kwa jiwe mida hii kufutwa ni mpaka asubuh??![]()
Nani huyo anaandika matusi? Nimshushie rungu hapa hapaHahahaha
Huoni hata JF wenyewe wamelizuia
Japo now ni usiku wangekuwa wana tuachia
Siwezi kukutukana unajuaNi kama ulitukana au?
Shkamoo mzeeHaya niamkieni wanangu kabla sijaenda kulala