mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,563
Salama kabisa,wewe je?Nawasalimu nyoote wapendwa.....mu hali gani?
Salama kabisa,wewe je?Nawasalimu nyoote wapendwa.....mu hali gani?
Hizo mbio ndio unaenda kufanya kweli?Hahahahaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
salama piaSalama kabisa,wewe je?
LohPollee jmn ,mkumbatie shemej ucngizi utaluja tenaaa
Ni vyema kumshukuru Mungu.salama pia
Sawa chiefNi vyema kumshukuru Mungu.
Juzi ilikuaje kuhusu ndugu yako?Sawa chief
ndugu yangu yupi huyo chief...nikumbushe tafadhaliJuzi ilikuaje kuhusu ndugu yako?
Mshana kilimkuta nini maana akiulizwa hasemi vitu kwa uwazi?ndugu yangu yupi huyo chief...nikumbushe tafadhali
uwazi upi tena mliokuwa mnautaka....mbona alikua anaelewekaMshana kilimkuta nini maana akiulizwa hasemi vitu kwa uwazi?
hajasema katukanwa na naniuwazi upi tena mliokuwa mnautaka....mbona alikua anaeleweka
Haya niambieni mko wapi muda huu
Niko angani naruka na ungo kurejea Sumbawanga baada ya kumaliza shughuli za uwangaji usiku huu!
,unamiliki bombadia mkuu?![]()
,unamiliki bombadia mkuu?

